Thursday 5 March 2015

Leave a Comment

Njia za kupunguza au kutibu tatizo la kutofika kileleni kwa mwanamke

Njia za kupunguza au kutibu tatizo la kutofika kileleni kwa mwanamke
Kujiruhusu mwenyewe kupenda tendo la ndoa
na zaidi kupenda kufika kileleni kwa hamu
kubwa.
Kuwa responsible kwa mambo yote yanayohusu
ufanisi wa tendo la ndoa.
Kujipa elimu na maarifa kuhusu elimu ya
mapenzi kwa mwanaume na mwanamke, viungo
vinavyohusika na kila kitu kinachiweza kukupa
tofauti katika ufanisi uimarishaji wa tendo la
ndoa kama unavyosoma hapa sasa hivi.
Kuwa na mawasiliano wakati wa tendo la ndoa
hasa kuhusiana na maeneo yote ambayo
unasisimka pale ukiguswa au kuchezewa.
Kufanyia kazi kila tatizo lolote la kisaikolojia na
kupata solution kabla ya tendo la ndoa.

0 comments:

Post a Comment